Posts

ALI KIBA THE SPECIAL ONE

Image
Picha kutoka: Alikiba (facebook)  Katika wanamuziki ambao huwa hawana kelele kwenye bongo fleva ni Ali Kiba , unaweza sema Ali Kiba hana kitete kulingana na muziki anao ufanya.  Albam ya Only One King imemfanya kuwa tofauti na vijana wachanga ambao wamemkuta kwenye game. Vijana hawa wamekuwa waoga sana hadi kufika hatua kutokuamini Talanta zao na kuamini kuwa kuchafua wengine ni biashara au kutengeneza mahusiano bandia ni muziki jambo ambalo limechangia kuharibu saikolojia ya vijana wengi mtaani na Tanzania kukosa wanamuziki wenye Ubora kama ilivyokuwa awaits. Miongoni mwa mambo yamechangia Ali Kiba kufanya vizuri bila makelele, majigambo, scandal boland kununua streams au followers kwenye mtandao yake ya kijamii. Ali Kiba anaamini kuwa kazi yake anayoifanya ni nzuri pia anawaamini mashabiki zake, anaamini mashabiki waliompokea mwanzoni ndio hao hao watampambania kufanya vizuri. Ali Kiba anaamini sana katika uzalendo kama ingekuwa hawa wasanii wachanga basi Ali Kib...

ONLY ONE KING NDIO FUNDISHO AFRICA MASHARIKI NA KATI

Image
picha kutoka: Alikiba (facebook) Ukubwa wa msanii Ali Kiba hapa Afrika umeendelea kuwatisha mastaa Kibao Afrika kutokana na album yake ya Only One King kufanya vizuri na kitambaa Afika nzima. Licha ya waasimu wake kujitutumua lakini bado album yake imeendelea kufanya maajabu na kueka rekodi ya kipekee, katika album hii ya Only One King ikumnukwe ni pan Afrika bado world wide inakuja ambapo tutegemee maajabu zaidi. Kupitia planet bongo ya Arst Afrika radio imethibitisha kuwa kuanzia mziki wa bongo fleva ukue Ali Kiba amekuwa Bamburi moja kwenye kuutambulisha kimataifa bila kukopi ladha za wanaija au watu wengine, hivyo basi album ya Ali Kiba Only One King ndio album bora mwaka 2021-2022 ikifuatwa ma A slave become a King ya Darasa. Kwa hisani ya Tanzania Mpya News (facebook)

OSCAR WINNING ACTOR WILLIAM HURT AT AGE 71

Image
William Hurt, an Oscar-winning actor known for his roles in movies such as "Kiss of the Spider Woman" and "Broadcast News," died on Sunday at the age of 71, according to Deadline. "It is with great sadness that the Hurt family mourns the passing of William Hurt, beloved father and Oscar winning actor, on March 13, 2022, one week before his 72nd birthday," the actor's son, Will, said in a statement obtained by Deadline."He died peacefully, among family, of natural causes. The family requests privacy at this time." The actor disclosed in 2018 that he had been diagnosed with terminal prostate cancer which had spread to the bone, although at the time he credited an alternative form of chemotherapy with saving his life, according to media reports. Hurt's death was also confirmed to Variety by his friend, Gerry Byrne. Hurt, who studied at the prestigious Juilliard School in New York City, emerged as one of the most celebrated leadin...

Varying meanings of rings on fingers

Image
Wait Until Marriage  Wearing rings is part of making your jewellery stand out. However, every ring on a finger is symbolic, whether on the right or left hand. Every ring on a finger sends a message on your marital or social status. Left Thumb It's rare to find anyone wearing a ring on the thumb. However, it would symbolise a person's inner self. Wearing a ring on the left thumb is thought to help the owner develop mental strength. Right Thumb It indicates a person's wealth and social influence on the people. This is more symbolic in terms of social status and not marital status. Left Index Finger A ring on the index finger reflects power and the spirit of leadership. Years ago, members of the royal families would wear rings on the left index fingers. Members of the community who are perceived to be vulnerable would not wear rings at all. Right Index Finger During conventional Jewish wedding ceremonies,  the groom would put the wedding band on the bride's rig...

Toxic relationships among campus students

Image
  Genuine Relationshipor Just Traps Campus life is exhilarating with no one to watch your back and freedom in the very air which goes into student's head. Getting into  relationships among students is a major thing that affect the education of one, choosing between the commitment of learning and loving becomes tricky with lifestyle peer pressure trying new ideas and temptation contributing to it. For a relationship to thrive it needs commitment and quite some good time and juggling this with studying needs some good level of maturity.  Bernard Nyasimi former student Moi University pursuing medicine fell in love with Elizabeth  Kisili and even had a child and their parents were kept in the blind for two years. In the two years it was a struggle for them to sustain the young one to an extent of coming up with a WhatsApp group to fundraise for their upkeep and Elizabeth had to differ. Lifestyle and peer pressure play a part with one being a toddler in this l...

Ali Sale Kiba

Image
 Ali Kiba ni msanii wa bongo fleva mwenye umri wa miaka 35. Wimbo uliomfanya Ali Kiba kujulikana ni wimbo kuitwa MARIA aliyoshirikishwa na msanii Abby Skillz mwaka wa  2005. Mwaka wa 2007  Kiba aliweza kuachia rami album yake ya kwanza yenye jina la CINDERELLA  yenye nyimbo 15 zilizopokelewa vizuri na kufanya vizuri hadi sasa. Mwaka wa 2010 Kiba aliweza kushiriki kwa wimbo wa HANDS ACROSS THE WORLD  uliyosimamiwa na mwanamziki RKelly. Mwaka huo huo wa 2010 msanii Ali Kiba alianza kunyamaza na kukaa kimya Taliban miaka 4 na kurudi tena mwaka 2014 na kuachia wimbo wake mpya ya Mwana  ambayo ilifanya vizuri sana na ilirekodiwa na lebo ya ROCKSTAR 4000 . Pia, aliendelea kutoa nyimbo zingine nyingi zikiwemo seduce me, Aje, Lupela, Chekecha Cheketua, Kadogo, Mvumo wa Radi na kadhalika. Mwaka 2016 msanii huyo alisainiwa na SONY MUSIC. Mwaka 2018 Ali Kiba aliweza kuwatambulisha wasanii wake rami katika lebo yake ya KINGMUSIC RECORD ,Cheed, Killy,na K2G...