ONLY ONE KING NDIO FUNDISHO AFRICA MASHARIKI NA KATI

picha kutoka: Alikiba (facebook)

Ukubwa wa msanii Ali Kiba hapa Afrika umeendelea kuwatisha mastaa Kibao Afrika kutokana na album yake ya Only One King kufanya vizuri na kitambaa Afika nzima. Licha ya waasimu wake kujitutumua lakini bado album yake imeendelea kufanya maajabu na kueka rekodi ya kipekee, katika album hii ya Only One King ikumnukwe ni pan Afrika bado world wide inakuja ambapo tutegemee maajabu zaidi. Kupitia planet bongo ya Arst Afrika radio imethibitisha kuwa kuanzia mziki wa bongo fleva ukue Ali Kiba amekuwa Bamburi moja kwenye kuutambulisha kimataifa bila kukopi ladha za wanaija au watu wengine, hivyo basi album ya Ali Kiba Only One King ndio album bora mwaka 2021-2022 ikifuatwa ma A slave become a King ya Darasa.

Kwa hisani ya Tanzania Mpya News (facebook)

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

OSCAR WINNING ACTOR WILLIAM HURT AT AGE 71

Toxic relationships among campus students

Varying meanings of rings on fingers