Posts

Showing posts from March, 2022

ALI KIBA THE SPECIAL ONE

Image
Picha kutoka: Alikiba (facebook)  Katika wanamuziki ambao huwa hawana kelele kwenye bongo fleva ni Ali Kiba , unaweza sema Ali Kiba hana kitete kulingana na muziki anao ufanya.  Albam ya Only One King imemfanya kuwa tofauti na vijana wachanga ambao wamemkuta kwenye game. Vijana hawa wamekuwa waoga sana hadi kufika hatua kutokuamini Talanta zao na kuamini kuwa kuchafua wengine ni biashara au kutengeneza mahusiano bandia ni muziki jambo ambalo limechangia kuharibu saikolojia ya vijana wengi mtaani na Tanzania kukosa wanamuziki wenye Ubora kama ilivyokuwa awaits. Miongoni mwa mambo yamechangia Ali Kiba kufanya vizuri bila makelele, majigambo, scandal boland kununua streams au followers kwenye mtandao yake ya kijamii. Ali Kiba anaamini kuwa kazi yake anayoifanya ni nzuri pia anawaamini mashabiki zake, anaamini mashabiki waliompokea mwanzoni ndio hao hao watampambania kufanya vizuri. Ali Kiba anaamini sana katika uzalendo kama ingekuwa hawa wasanii wachanga basi Ali Kib...

ONLY ONE KING NDIO FUNDISHO AFRICA MASHARIKI NA KATI

Image
picha kutoka: Alikiba (facebook) Ukubwa wa msanii Ali Kiba hapa Afrika umeendelea kuwatisha mastaa Kibao Afrika kutokana na album yake ya Only One King kufanya vizuri na kitambaa Afika nzima. Licha ya waasimu wake kujitutumua lakini bado album yake imeendelea kufanya maajabu na kueka rekodi ya kipekee, katika album hii ya Only One King ikumnukwe ni pan Afrika bado world wide inakuja ambapo tutegemee maajabu zaidi. Kupitia planet bongo ya Arst Afrika radio imethibitisha kuwa kuanzia mziki wa bongo fleva ukue Ali Kiba amekuwa Bamburi moja kwenye kuutambulisha kimataifa bila kukopi ladha za wanaija au watu wengine, hivyo basi album ya Ali Kiba Only One King ndio album bora mwaka 2021-2022 ikifuatwa ma A slave become a King ya Darasa. Kwa hisani ya Tanzania Mpya News (facebook)

OSCAR WINNING ACTOR WILLIAM HURT AT AGE 71

Image
William Hurt, an Oscar-winning actor known for his roles in movies such as "Kiss of the Spider Woman" and "Broadcast News," died on Sunday at the age of 71, according to Deadline. "It is with great sadness that the Hurt family mourns the passing of William Hurt, beloved father and Oscar winning actor, on March 13, 2022, one week before his 72nd birthday," the actor's son, Will, said in a statement obtained by Deadline."He died peacefully, among family, of natural causes. The family requests privacy at this time." The actor disclosed in 2018 that he had been diagnosed with terminal prostate cancer which had spread to the bone, although at the time he credited an alternative form of chemotherapy with saving his life, according to media reports. Hurt's death was also confirmed to Variety by his friend, Gerry Byrne. Hurt, who studied at the prestigious Juilliard School in New York City, emerged as one of the most celebrated leadin...