Ali Sale Kiba

 Ali Kiba ni msanii wa bongo fleva mwenye umri wa miaka 35. Wimbo uliomfanya Ali Kiba kujulikana ni wimbo kuitwa MARIA aliyoshirikishwa na msanii Abby Skillz mwaka wa  2005.

Mwaka wa 2007  Kiba aliweza kuachia rami album yake ya kwanza yenye jina la CINDERELLA yenye nyimbo 15 zilizopokelewa vizuri na kufanya vizuri hadi sasa.

Mwaka wa 2010 Kiba aliweza kushiriki kwa wimbo wa HANDS ACROSS THE WORLD  uliyosimamiwa na mwanamziki RKelly. Mwaka huo huo wa 2010 msanii Ali Kiba alianza kunyamaza na kukaa kimya Taliban miaka 4 na kurudi tena mwaka 2014 na kuachia wimbo wake mpya ya Mwana ambayo ilifanya vizuri sana na ilirekodiwa na lebo ya ROCKSTAR 4000. Pia, aliendelea kutoa nyimbo zingine nyingi zikiwemo seduce me, Aje, Lupela, Chekecha Cheketua, Kadogo, Mvumo wa Radi na kadhalika.

Mwaka 2016 msanii huyo alisainiwa na SONY MUSIC. Mwaka 2018 Ali Kiba aliweza kuwatambulisha wasanii wake rami katika lebo yake ya KINGMUSIC RECORD,Cheed, Killy,na K2GA ambapo kwa sasa Cheed na Killy waliondoka.Wimbo Yao ya kwanza ilikuwa ni Mwambie Sina.

Mwaka 2021 msanii Ali Kiba aliweza kuachia album yake ya pili na kulipwa jina la ONE AND ONLY KING ambayo ilizua gizmo mitandaoni na ndio album namba moja hadi sasa . Album hiyo ina wimbo 15 ikiwemo Utu, Amor, Gimme Dat, Tamba, Niteke, Happy na zinginezo.

Comments

  1. King kiba๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‘

    ReplyDelete
  2. Iyoooh babaaaa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ‘Œ

    ReplyDelete
  3. King kibaa๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ

    ReplyDelete
  4. I saw this coming ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜

    ReplyDelete
  5. Go!Go!Go! Didi๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

OSCAR WINNING ACTOR WILLIAM HURT AT AGE 71

Toxic relationships among campus students

Varying meanings of rings on fingers