Ali Sale Kiba
Ali Kiba ni msanii wa bongo fleva mwenye umri wa miaka 35. Wimbo uliomfanya Ali Kiba kujulikana ni wimbo kuitwa MARIA aliyoshirikishwa na msanii Abby Skillz mwaka wa 2005.
Mwaka wa 2007 Kiba aliweza kuachia rami album yake ya kwanza yenye jina la CINDERELLA yenye nyimbo 15 zilizopokelewa vizuri na kufanya vizuri hadi sasa.
Mwaka wa 2010 Kiba aliweza kushiriki kwa wimbo wa HANDS ACROSS THE WORLD uliyosimamiwa na mwanamziki RKelly. Mwaka huo huo wa 2010 msanii Ali Kiba alianza kunyamaza na kukaa kimya Taliban miaka 4 na kurudi tena mwaka 2014 na kuachia wimbo wake mpya ya Mwana ambayo ilifanya vizuri sana na ilirekodiwa na lebo ya ROCKSTAR 4000. Pia, aliendelea kutoa nyimbo zingine nyingi zikiwemo seduce me, Aje, Lupela, Chekecha Cheketua, Kadogo, Mvumo wa Radi na kadhalika.
Mwaka 2016 msanii huyo alisainiwa na SONY MUSIC. Mwaka 2018 Ali Kiba aliweza kuwatambulisha wasanii wake rami katika lebo yake ya KINGMUSIC RECORD,Cheed, Killy,na K2GA ambapo kwa sasa Cheed na Killy waliondoka.Wimbo Yao ya kwanza ilikuwa ni Mwambie Sina.
Mwaka 2021 msanii Ali Kiba aliweza kuachia album yake ya pili na kulipwa jina la ONE AND ONLY KING ambayo ilizua gizmo mitandaoni na ndio album namba moja hadi sasa . Album hiyo ina wimbo 15 ikiwemo Utu, Amor, Gimme Dat, Tamba, Niteke, Happy na zinginezo.
One and only king #kiba
ReplyDelete๐๐๐
ReplyDeleteKing kiba๐ฏ๐ฅ๐
ReplyDeleteIyoooh babaaaa๐๐๐๐
ReplyDeleteAlikiba for life
ReplyDeleteThe finest๐
ReplyDeleteAmazing ๐
ReplyDeleteYooh๐
ReplyDelete๐ฏ๐ฏ⚡
ReplyDeleteKazi nzuri๐ฏ
ReplyDeleteAlikiba to the world⚡
ReplyDeleteKing kibaa๐ฏ๐ฏ
ReplyDelete๐๐kiba forlife
ReplyDeleteEiiish๐ฅ๐ฅ
ReplyDeleteI saw this coming ๐๐
ReplyDeleteYaaaaap,,yebaba
ReplyDeleteTeam kiba all the way
ReplyDeleteWow. This is wonderful
ReplyDeleteNice article
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteAmazing
ReplyDelete๐๐ฆ❤️nice
ReplyDeleteA we some
ReplyDeleteGoodwork
ReplyDeleteGo!Go!Go! Didi๐๐๐
ReplyDeleteKiba all the way๐ฅ
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteTeam Kiba all the way!
ReplyDeleteAli Kiba
ReplyDeleteMashaAllah! ๐
ReplyDelete